George Caruana (1831 – 1872) alikuwa mwanafalsafa kutoka Malta aliyejikita zaidi katika taaluma ya epistemolojia (sayansi ya maarifa). Alikuwa mhadhiri wa falsafa katika Chuo Kikuu cha Malta kuanzia mwaka 1859 hadi 1872.[1]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Caruana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |