Georgia Lorraine Ellenwood (alizaliwa Agosti 1995) ni mwanariadha wa Kanada anayeshindana katika muunganiko wa riadha.[1]. Aliiwakilisha Kanada katika michuano ya IAAF_World_Indoor_Championships akamaliza akishika nafasi ya kumi na pia aliiwakilisha katika michuano ya Olimpiki huko Tokyo. Georgia Ellenwood ni bingwa mara nane katika NCAA Division I All-American, mwanariadha wa mwaka 2018 katika Big Ten Conference baada ya kuweka rekodi mpya ya ubora wake na Wisconsin Badgers school. CKWX NEWS 1130 huko British Columbia ilichapisha safari ya Ellenwood. Ellenwood ni mhitimu wa mwaka 2013 elimu yake ya upili[2]
Ellenwood alishindana kwenye 2020 Summer Olympics.[3][4][5]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georgia Ellenwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |