Ggaba ni kitongoji ndani ya jiji la Kampala katika Mkoa wa Kati huko Uganda.[1]
Ggaba kiko katika mwambao wa kaskazini mwa Ziwa Victoria, kwenye ncha ya kusini ya jiji la Kampala.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ggaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |