Gilbert Espinosa Chávez (10 Machi 1932 – 15 Machi 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la San Diego.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |