Gloria Osei Sarfo | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Amezaliwa | Gloria Osei Sarfo Ghana | ||||||
Jina lingine | Gloria Sarfo | ||||||
Kazi yake | Mwigizaji na mtangazaji wa runinga | ||||||
|
Gloria Osei Sarfo ni mwigizaji wa Ghana na mtangazaji wa runinga. [1][2] Alishinda Mwigizaji Bora msaidizi katika Tuzo za 2020 Africa Magic Viewers' Choice kwa uhusika wake katika filamu ya Shirley Frimping Manso ya The Perfect Picture - Miaka Kumi Baadaye. [3][4]
Sarfo alianza kazi yake ya uigizaji katikati ya miaka ya 2000, akiigiza katika Revele Films' Hotel Saint James. Alipata umaarufu baada ya kucheza nafasi ya Nana Ama katika Efiewura. [4][5]
Sarfo alishinda Mwigizaji Bora msaididizi katika Tuzo za 2020 Africa Magic Viewers' Choice. [6][7][3][4]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gloria Sarfo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |