Gregory Nicholas Ranjitsingh (alizaliwa Julai 18, 1993) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu anayecheza kama kipa kwa klabu ya New York City FC katika Ligi kuu ya soka. Alizaliwa Kanada na anaiwakilisha timu ya taifa ya Trinidad na Tobago kimataifa.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Greg Ranjitsingh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |