Grzegorz Balcerek

Grzegorz Balcerek (alizaliwa 13 Februari 1954) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi, ambaye amekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Poznań na Askofu wa jimbojina la Selendeta tangu mwaka 1999.[1]

  1. "Biogram Bpa Grzegorza Balcerka" (kwa Polish). Archidiecezja Poznańska. Iliwekwa mnamo 7 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.