Guy Butler | |
Amezaliwa | 21 Januari 1918 Eastern Cape, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 26 Aprili 2001 Afrika Kusini |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mshairi |
Kipindi | 1952-2001 |
Frederick Guy Butler (21 Januari 1918 - 26 Aprili 2001) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha kama profesa wa Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Rhodes kule Grahamstown. Pia alitunga mashairi mengi.
Pia alikuwa mhariri wa vitabu:
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guy Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |