Habaswein

Habaswein ni mji wa kaunti ya Wajir.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 49,599[1].

Pia ni kata ya eneo bunge la Wajir Kusini, kaskazini mashariki mwa Kenya[2].