Hanna Hamdi (alizaliwa 26 Novemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama mshambuliaji wa Klabu ya VfR Warbeyen nchini Ujerumani pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hanna Hamdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |