Harmony Hammond (alizaliwa Februari 8, 1944) ni msanii, mwanaharakati, mtunza maonyesho, na mwandishi kutoka Marekani. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa harakati za sanaa ya kike (feminist art movement) katika miaka ya 1970 huko New York.[1]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harmony Hammond kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |