Harold "Hackie" Stuart Reitman (alizaliwa Jersey City, New Jersey, 29 Machi 1950) ni daktari wa upasuaji wa mifupa, bondia wa zamani, mjasiriamali, mwandishi, na mfadhili wa Marekani. Ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Different Brains. Reitman alipigana kama bondia wa uzito wa juu wakati akifanya kazi muda wote kama daktari wa upasuaji wa mifupa, na alijulikana kwa ajili hiyo.[1]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harold Reitman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |