Haruka Hamada (alizaliwa 26 Januari 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae kwasasa anacheza kama kiungo wa timu ya wanawake Mynavi Sendai inayoshiriki ligi ya WE league.[1]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Haruka Hamada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |