Hassan Hajjaj, alizaliwa mwaka 1961, ni msanii wa kisasa wa Morocco ambaye anaishi na kufanya kazi London nchini Uingereza na Marrakesh, Morocco.
Hajjaj alizaliwa Larache, Moroko mwaka 1961.[1]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hassan Hajjaj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
.