Heffa Schücking ni mwanamazingira kutoka Ujerumani. Ni mwanzilishi na mkurugenzi wa shirika la Urgewald linalojihusisha na mazingira na haki za binadamu nchini Ujerumani.[1]
Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1994, kwa kazi zake za kuhifadhi misitu ya mvua.[2]