Hefziba au Hefsiba (kwa Kiebrania: חֶפְצִי-בָהּ, ḥefṣīva, ḥep̄ṣībā, "furaha yangu iko kwake"; kwa Kiingereza: / hɛpzɪbə / au / hɛfzɪbə /) ni mwanamke ambaye jina lake lipo katika vitabu vya Wafalme katika Biblia[1].
Alikuwa mke wa Hezekia, Mfalme wa Yuda, na mama wa Mfalme Manase.
Jina lake limejitokeza katika 2 Fal 21:1.
Hefzibah pia ni jina la mfano kwa Yerusalemu mara baada ya kurejeshewa neema ya Bwana katika Isaya 62:4.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hefziba kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |