Henry Kiprono Kosgey ni mwanasiasa wa Kenya ambaye alikuwa mbunge wa Eneo bunge la Tinderet na alikuwa waziri wa maendeleo ya viwanda. Pia alikuwa mwenyekiti wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), mbunge wa muda mrefu zaidi wa Tinderet ambaye pia ni mmiliki mashuhuri wa mashamba ya chai.[1]
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |