Hifadhi ya Taifa ya Assagny, ni mbuga ya Taifa kusini mwa Ivory Coast .
Iko kwenye pwani kama km 75 (mi 47) magharibi mwa Abidjan, katikati ya mlango wa Mto Bandama na Lagoon ya Ébrié, na inachukuwa eneo la takribani hektari 17,000 . [1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Assagny kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |