Hima ni mji uliyokuwepo magharibi mwa nchi ya Uganda. Ni mji wa viwanda, na unajulikana zaidi kwa uzalishaji wa saruji. [1]
Hima upo katika Parokia ya Kitswamba, jimbo la Busongora, Wilaya ya Kasese. Mji upo katika barabara ya Mpondwe, karibu kilomita 3.5 kwa barabara, kaskazini-mashariki mwa mji wa Kasese, mji mkubwa zaidi kwenye ukanda mdogo wa Rwenzururu.Ni kilomita kama 57 kwa barabara kusini-magharibi mwa ngome ya Portal , mji mkuu wa karibu.The majira-nukta ya mji ni 0°17'26.0"N, 30°10'39.0"E (Latitude:0.290556; 30.177500).[2]Hima upo katika wastani wa muinuko wa mita 98 juu ya usawa wa bahari.<ref name="5R">Mapcarta (29 Mei 2020). "Elevation of Hima Town Council, Kasese District, Uganda". Mapcarta.com. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2020.{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |