Himashree Roy (alizaliwa Kolkata, Bengal Magharibi, 15 Machi 1995 [1]) ni mwanariadha wa India ambaye alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 100 za kupokezana vijiti pamoja na Merlin K Joseph, Srabani Nanda na Dutee Chand katika Mashindano ya 22 ya Riadha za Asia yaliyokamilika Julai 9, 2017. [2][3]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Himashree Roy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |