Héctor Miguel Cabrejos Vidarte, O.F.M. (alizaliwa 5 Julai 1948) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la Peru ambaye amekuwa Askofu Mkuu wa Trujillo tangu mwaka 1999. Amekuwa askofu tangu mwaka 1988 na kwa sasa anaongoza Baraza la Maaskofu wa Amerika ya Latini (CELAM).[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |