IBB ni kifupisho cha International Broadcasting Bureau yaani Shirika la Kimataifa la Utangazaji. Liko chini ya serikali ya Marekani.