INO Records
INO Records | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | Sony Music Entertainment |
Imeanzishwa | 2002 |
Nchi | ![]() |
Mahala | nje ya Nashville, Tennessee |
Tovuti | www.inorecords.com |
INO Records ni studio ya Marekani yenye makao yao nje ya Nashville, Tennessee. Studio hii inahusika sana na nyimbo za kisasa za Kikristo. Nyimbo zilizorekodiwa huko husambazwa kote duniani kwa kupitia Sony Records (wakati mwingine huwa imetajwa kama moja ya mashirika yake madogomadogo, Epic Records au Columbia Records). Inamilikiwa na Integrity Media tangu mwaka wa 2002. Pia hii ndiyo studio iliyoanzisha SRE Recordings, ambayo hujihusisha zaidi na nyimbo za Kikristo.
|