“If I Ruled the World (Imagine That)” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Nas featuring Lauryn Hill kutoka katika albamu ya It Was Written | |||||
Imetolewa | June 4, 1996 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 4:42 | ||||
Studio | Columbia | ||||
Mtunzi | Nasir Jones Jean-Claude Olivier Kurtis Walker Samuel Barnes | ||||
Mtayarishaji | Trackmasters Rashad Smith | ||||
Mwenendo wa single za Nas featuring Lauryn Hill | |||||
| |||||
|
"If I Ruled the World (Imagine That)" ni wimbo mkali wa mwaka wa 1996 kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Nas akimshirikisha Lauryn Hill wa The Fugees. Wimbo unatokana na ngoma kama hii ya mwaka wa 1985 ya rapa aliyekwenda kwa jina la Kurtis Blow na kuchukua sampuli ya biti ya wimbo wa "Friends" wa Whodini. Huu ndio wimbo wa kwanza wa Nas wa R&B kuingia katika Ishirini 20, na ulipata kuteuliwa mwaka 1997 kwenye Grammy Award for Best Rap Solo Performance. Mashairi ya Nas yanajadili mambo mbalimbali iwapo ataiongoza dunia na kila kitu kichomo ndani yake. Wimbo huu huhesabiwa kama moja kati ya nyimbo kali za rap na machapisho mengi sana. Ikiwa ni pamoja na kuingizwa nafasi ya 88 kwenye orodha ya Nyimbo Bora za Miaka ya 1990.
Chati (1996) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Austria (Ö3 Austria Top 75)[1] | 30 |
Belgium (Ultratop 50 Flanders)[2] | 21 |
Belgium (Ultratop 40 Wallonia)[3] | 11 |
France (SNEP)[4] | 4 |
Germany (Media Control AG)[5] | 4 |
Netherlands (Dutch Top 40)[6] | 9 |
New Zealand (RIANZ)[7] | 2 |
Norway (VG-lista)[8] | 5 |
Sweden (Sverigetopplistan)[9] | 3 |
Switzerland (Schweizer Hitparade)[10] | 7 |
UK Singles (The Official Charts Company)[11] | 12 |
US Billboard Hot 100[12] | 53 |
US Hot R&B/Hip-Hop Songs (Billboard)[13] | 17 |
US Hot Rap Singles (Billboard)[14] | 15 |
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)