Imara Jones | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Imara Jones |
Nchi | Mmarekani |
Kazi yake | Mwandishi wa Habari |
Tovuti rasmi | http://imarajones.com/ |
Imara Jones ni mwanzilishi wa chombo cha habari cha TransLash,[1] jukwaa la habari za watu mbalimbali, matukio pamoja na miradi mbalimbali. TransLash hutoa taarifa za kupinga na kudhibiti ubadilishaji wa jinsia za watu huko nchini Marekani. TransLash iliteuliwa kutunukiwa tuzo kama chombo cha habari bora cha kidijitali.[2]
Mnamo mwaka 2019 aliongoza mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa uliojadili juu ya Utofauti wa Kijinsia[3] ambao ulikuwa na washiriki zaidi ya 600.
Jones anafanya kazi kama mwenyeji, mchambuzi wa habari za anga na mwandishi aliyejikita kwenye mambo ya haki za kijamii na usawa. Ametajwa katika vituo kadhaa vya habari kama vile Guardian, Nation,[4][5] MSNBC, CNBC, NPR, Mic,[6][7] The Grio,[8][9] Colorlines[10] and the In The Thick[11] podcast. Alihojiwa pia kwa Mradi wa Historia ya Oral ya [[New York City]] kwa kushirikiana na Umma wa New York.[12] Jones alishikilia sera za kiuchumi katika Ikulu ya Clinton na nafasi katika mawasiliano huko Viacom ambapo aliongoza shindano lilojulikana kama kampeni ya VVU na UKIMWI. Alipata digrii kutoka London School of Economics na Columbia. Kwa sasa Jones ni Mdau wa Soros Equality [13] and on the board of the Anti Violence Project [14] and the New Pride Agenda.[15]
Jones ana shahada ya kwanza ya sayansi ya siasa kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, na shahada ya uzamili ya uchumi kutoka London School of Economics[16][17][18] Kabla ya kazi yake ya uandishi wa habari, Jones alifanya kazi katika sera ya kibiashara ya kimataifa katika Ikulu ya Clinton, na kama mtendaji huko Viacom kuanzia 2005 hadi sasa.[17][18][19]
Jones alishinda tuzo ya Emmy Award na Peabody Award[17] akapewa jina la bingwa wa utetezi 2018.[20] Imara pia alizawadiwa ushiriki wa Voqal 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Imara Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |