Isibeal Carolan "Izzy" Atkinson (alizaliwa 17 Julai 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Eire, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Crystal Palace F.C, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa Eire.[1]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Isibeal Atkinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |