Jack Cope

Jack Cope (3 Juni 1913 - 1991) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Kabla ya kuwa mwandishi alikuwa mkulima. Hasa aliandika riwaya, hadithi fupi na mashairi. Pia alianzisha gazeti la fasihi Contrast.

Vitabu vyake

[hariri | hariri chanzo]
  • The Fair House (1955)
  • My Son Max (1978)
  • The Adversary Within: Dissident Writers in Afrikaans (1982)
  • Selected Stories (1986)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Cope kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.