Jack Klaff | |
Amezaliwa | Jack Klaff 6 August 1951 Johannesburg |
---|---|
Nchi | Afrika kusini |
Majina mengine | Jack |
Kazi yake | Mwandishi |
Jack Klaff ni mhariri, mwandishi, na mtaaluma aliyezaliwa nchini Afrika Kusini.[1]alikuwa mkufunzi katika chuo kikuu cha Princeton University na Starlab.[2]
Miongoni mwa majukumu yake ya mwanzo ya televisheni yalikuwa katika Star Wars Episode IV mnamo mwaka 1977 kama Red four na For Your Eyes Only mwaka 1981 kama Waasi. Pia alionekana katika mfululizo wa vichekekesho vya redio ya BBC vya 1984-87, Delve Special pamoja na Stephen Fry.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jack Klaff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |