Jacques Yandé Sarr (11 Oktoba 1934 – 18 Januari 2011) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika Jimbo Katoliki la Thiès, Senegal.
Alipadrishwa mwaka 1964 na baadaye akateuliwa kuwa askofu wa Jimbo la Thiès mnamo 1987, ambapo alihudumu hadi kifo chake akiwa madarakani mnamo 2011.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |