Jamal E Malinzi

Jamal Malinzi ni msimamizi wa zamani wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania. [1] Alikuwa raisi wa Chama cha Soka Tanzania (TFF) kuanzia 2013 hadi 2017. [2]

Malinzi na Oden Mbaga ni miongoni mwa wasimamizi wa masuala ya soka nchini Tanzania waliopigwa marufuku na Kamati ya Maadili ya FIFA kushiriki masuala ya mpira wa miguu. [3] [4]

  1. Muga, Emmanuel. "Jamal Malinzi elected Tanzania FA president". Bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Muga, Emmanuel (2013-05-10). "BBC Sport - Tanzania Football Federation sets new election dates". Bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Decision of the adjudicatory chamber of the Ethics Committee" (PDF) (kwa English). fifa.com. 25 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. "Decision of the adjudicatory chamber of the Ethics Committee" (PDF) (kwa English). fifa.com. 25 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamal E Malinzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.