Jamie-Lee Napier

Jamie-Lee Napier (alizaliwa 6 Aprili 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti ambae anacheza kama beki wa pembeni au winga wa klabu ya Bristol City inayshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Uskoti.[2]

  1. Noah Dougherty (2023-08-14). "Napier signs for City". Bristol City FC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
  2. "Jamie-Lee Napier | Scotland | Scottish FA". www.scottishfa.co.uk. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamie-Lee Napier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.