Janet Kirina Nariki (amezaliwa eneo la Kajiado, 25 Aprili 1986[1]) ni mwigizaji, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji na mwenyeji katika vipindi vya runinga wa Kenya. Kirina anafahamika kwa majukumu yake katika Makutano Junction.
Kirina ametokea katika utayarishaji wa filamu na vipindi mbali mbali vya runinga nchini Kenya. Ametokea katika mchezo wa kuelimisha wa Ssoap opera, Makutano Junction. Ameigiza kama msichana mdogo mwenye kifafa na mwenye kutokujiamini na mpenziwe Tony anaendesha biashara ya mgahawa kutoka katika familia ya Mabuki.Ameigiza pamoja na, Charles Ouda, Wanja Mworia, Emily Wanja na Maqbul Mohammed. As from 2010, she hosted a Kid-show, Know Zone, where she co-hosted with Charles Ouda, having been colleagues in Makutano Junction[2]
Kirina aliingia kwenye muziki mnamo tarehe 22 Februari 2013 ambapo alitoa nyimbo yake ya kwanza, "Night Out".[3] Mnamo August 2013, aliachilia nyimbo yake ya pili, "Kata Kata",[4] "Niingize Box".[5] Mpaka 2015, hakuwa ameweka wazi kuhusu mipango yake ya albamu.s
Mwaka | Jina | Jukumu | maelezo |
---|---|---|---|
2008 | Benta | Benta | Filamu |
All Girls Together | Josie | Filamu | |
2008–2014 | Makutano Junction | Florence | Series regular Season 6 |
2009 | Block-D | Rita | Series regular Season 1 |
2010 | Higher Learning | Series regular Season 1 – 4 | |
Know Zone | mtangazaji |
Mwaka | Nyimbo | Mtayarishaji | Albamu | Ref(s) |
---|---|---|---|---|
2013 | "Night Out" | — | TBA | [2] |
"Niingize box" | — | [2] |
mwaka | Tuzo | Jamii | Mpokeaji/Project | Result |
---|---|---|---|---|
2009 | Tuzo za Kalasha | Muigizaji bora wa kike | Benta | Ameshinda[6] |
2012 | Mwigizaji bora wa kike katika michezo ya kuigiza runingani | Higher Learning | Kigezo:Aliteuliwa | |
Tuzo za Muziki Kisima | Kisima muimbaji mpya | Janet Kirina | Kigezo:Aliteuliwa[7] |
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Janet Kirina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |