Jean-Michel Bellot (alizaliwa 6 Desemba 1953) ni mwanaridha wa zamani wa Ufaransa aliyebobea kwenye kuruka kwa fimbo. Alizaliwa Neuilly-sur-Seine, Hauts-de-Seine.[1]
{{cite web}}