Jeff Bonwick - alivumbua na kuongoza uundaji wa mfumo wa faili wa ZFS, [1] ambao ulitumika katika bidhaa za uhifadhi za ZFS za Oracle Corporation pamoja na Nexenta, Delphix, Joyent, na Datto, Inc. [2] Bonwick pia ndiye mvumbuzi wa slab allocation, [3] ambayo hutumiwa katika kompyuta nyingi ikiwa ni pamoja na MacOS na Linux, na LZJB .
Majukumu yake yalijumuisha Sun Fellow, [4] Sun Storage CTO, [5] na Oracle makamu wa raisi.
Mnamo 2010 Bonwick alianzisha kampuni ndogo iitwayo DSSD na Mike Shapiro na Bill Moore, na kuwa muhandisi mkuu. Alianzisha usanifu wa programu za mfumo wa DSSD. Alitengeneza kifaa chenye mfumo mzima cha DSSD, ambacho kiliwezesha timu kuchunguza topolojia ya programu zinazowezekana. [6] DSSD ilinunuliwa na Shirika la EMC mnamo 2014, kisha ikawa sehemu ya Dell Technologies mnamo 2016. Kufikia mwisho wa 2016, Bill Moore aliachana na kampuni iyo, wakati Bonwick alibaki kama CTO. DSSD, walighahiri kutoa bidhaa yao iitwayo D5, Machi 2017.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)