Jenee Fleenor ni mchezaji muziki kutoka Marekani. Yeye ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo, anapiga fiddle, mandolin na gitaa na amewahi kutumbuiza na wanamuziki na bendi mbalimbali.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jenee Fleenor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |