Jenifa | |
---|---|
Muziki na | Fatai Izebe |
Nchi | Nigeria |
Lugha | Yoruba |
Jenifa ni filamu ya vichekesho ya Nigeria ya mwaka 2008 iliyochezwa na mwigizaji Funke Akindele. Mwaka 2008 filamu hii iliteuliwa katika tuzo za Africa Movie Academy Awards. Akindele alishinda tuzo za Africa Movie Academy Award for Best Actress in a Leading Role kama muigizaji wa kike.[1][2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jenifa(filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |