Jim Chuchu (alizaliwa Kenya, 7 Agosti 1982) ni mpigaji picha aliyejulikana kupitia utoaji wa filamu inayohusu ushoga.[1]