Joanna Manganara

Joanna Manganara ni mwanadiplomasia wa Ugiriki, mwanaharakati wa haki za wanawake, kuanzia 2013 hadi 2020 alikuwa rais wa International Alliance of Women (IAW), ambalo ni shirika kongwe zaidi la kimataifa la wanawake ambalo bado lipo.[1] Pia alikuwa mwakilishi wake mkuu katika Umoja wa Mataifa.[2] Alihudumu kama waziri-mshauri wa haki za binadamu katika wizara ya mambo ya nje ya Ugiriki kuanzia 1980 hadi 2005.[3]

  1. "International Alliance of Women (IAW) ... Herstory in the Making: Pt 1". Women's History Network (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2013-10-06.
  2. Joanna Manganara (2014-12-04). "President Joanna Manganara evaluates the UN ECE NGO Forum". International Alliance of Women (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-12-25.
  3. http://www.keeptalkinggreece.com/2011/04/06/athens-citizens-jeer-deputy-prime-minister-videos/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joanna Manganara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.