Darryl Paa Kwesi Bannerman-Martin, anayejulikana kwa jina la kisanii Joey B, ni msanii wa kurekodi muziki wa hip hop kutoka Ghana. Anajulikana sana kwa wimbo wake wa "Tonga".[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joey B kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |