John Lloyd Cruz

John Lloyd Cruz
John Lloyd Cruz
John Lloyd Cruz
Jina la kuzaliwa John Lloyd Cruz
Alizaliwa 24 Juni 1983
Ufilipino

John Lloyd Cruz (Alizaliwa tar. 24 Juni 1983, Ufilipino) ni mmoja kati ya waigizaji wenye umri mdogo katika medani ya Tamthilia na filamu kutoka nchini Philippines. Aliibukia katika tamthilia "Gimik" na "Tabing Ilog". Tamthilia zilizompa umashuhuri mkubwa ulimwenguni ni pamoja "Kay Tagaal Kang Hinitay" na "It Might Be You", na "Maging Sino Ka Man" ambapo alishirikiana vema na Bea Alonzo.

Filamu na Tamthilia Alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • What Matters Most (2008) Kama Phillip Santos
  • "One More Chance (2007) Kama Popoy
  • "All About Love (2006) Kama Eric
  • "Close to you (2006) kama Manuel
  • "Dubai (2005) kama Andrew
  • "Now That I Have You (2004) kama Michael Morales
  • "Forevermore (2004) kama Boyet
  • "My First Romance("Two Hearts Episode") (2003) kama Enzo
  • "Oo na... Mahal na kung Mahal (1998) kama Igiboy

Tamthilia

[hariri | hariri chanzo]
  • Maging Sino Ka Man Book 2 (2008) Kama Gabriel "Eli" Davide / Gabriel Hidalgo Roxas
  • "Magin sino Ka Man (2006) Kama Eli
  • "My Angel]] (2006) Kama Martin
  • Komiks: "Babmpy" (2006) Kama Baba yake Igiboy
  • "Maalaala Mo Kaya: "Kwintas" (2006) Kama Jason
  • "ASAP(2006) kama Yeye Mwenyewe
  • "Maalaala Mo Kaya:The Rene Cayetano Story (2005) kama Lino Cayetano
  • "Ikaw Ang Lahat Sa Akin (2005) kama Oliver
  • "It Might Be You (2003) kama Earl Lawrence Trinidad
  • "Kay Tagaal Kang Hinintay (2002) kama Atty. Yuri Orbida
  • "Sa Puso Ko lingatan Ka (2001) kama Adrian Montecilo
  • "Sa Dulo Ng Walang Hanggan (2001)
  • "Tabing Ilog (1999) kama Rolando Victor "Rovic" Mercado
  • "Sa Sandaling Kailangan Mo Ako (1998)
  • "Gimik (1996) kama Junie De Dois
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Lloyd Cruz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.