Joseph Gabet (4 Desemba 1808 – 1853) alikuwa padri mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa katika shirika la Walazaro.
Alikuwa na shughuli kaskazini mwa China na Mongolia kabla ya kusafiri kwenda Tibet akiwa na Évariste Huc. Alipelekwa kifungoni na kufukuzwa kutoka Tibet, kisha alifariki mjini Rio de Janeiro, Brazil.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |