Joseph Nduhirubusa

Joseph Nduhirubusa (24 Aprili 193816 Julai 2012) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Burundi.

Alipata upadrisho mwaka 1964 na aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Ruyigi mwaka 1980. Alihudumu katika nafasi hiyo hadi alipojiuzulu mwaka 2010.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.