Joseph R. Donovan Jr. ni mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani ambaye hapo nyuma aliweza kutumikia nchi yake kama Balozi nchini Indonesia.
Joseph R. Donovan Jr. alihitimu katika chuo kikuu cha masuala ya mambo ya nje cha Georgetown.[1]Aliweza kuipata shahda yake ya uzamili kutokea shule ya Naval Postgraduate School.[2]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph R. Donovan Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |