Joseph Sipendi (19 Machi 1915 – 29 Aprili 1985) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Tanzania na askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi.
Kabla ya kuhudumu kama askofu wa Moshi, alikuwa askofu wa Zanzibar.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |