Josephine Chukwunonye

Josephine Chiwendu Chukwunonye
Amezaliwa 19 Machi 1992
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Josephine Chiwendu Chukwunonye (alizaliwa 19 Machi 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza katika klabu ya Kungsbaca katika ligi ya Damallsvenskan na timu ya taifa ya Nigeria. Kabla ya hapo alichezea timu ya Rivers Angels kwa miaka saba.[1][2][3] After playing two games for the team, she was released in December 2015.[4]

  1. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 2022-05-13. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. "Nigerian defender Josephine Chukwunonye set to join Spirit after the Women's World Cup". Washington Spirit. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Player profile". Washington Spirit. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Spirit Waive DefenderJosephine Chukwynonye". NWSL. 22 Desemba 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-12. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2016. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josephine Chukwunonye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.