Josu Iriondo (19 Desemba 1938) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki mzaliwa wa Hispania ambaye baadaye alihamia Marekani.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la New York kutoka mwaka 2001 hadi 2014.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |