Judi Aubel

Judi Aubel mnamo mwaka 2017

Judith “Judi” Aubel (1946/1947 ( umri 74-75))[1] ni mtaalamu wa kimarekani wa masuala ya afya ya jamii[2] na mjasiriamali wa kijamii. Anatumikia kama mkurugenzi mtendaji wa mradi wa The Grandmother Project [3] usiotengeneza faida ambao unafanya kazi kuboresha maisha ya wanawake na   watoto.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "BBC 100 Women 2016: Who is on the list?", BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2019-10-07, iliwekwa mnamo 2022-08-07
  2. "Wiley: Research highlights key role grandmothers play in mother and child nutrition and health". eu.wiley.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
  3. https://web.archive.org/web/20161220082631/http://www.iacdglobal.org/publications-and-resources/member-publications/judi-aubel-grandmother-project Iliwekwa mnamo 7-8-2022
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judi Aubel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.