Juliana kanyomozi | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Juliana kanyomozi |
Amezaliwa | 27 Novemba 1981 |
Asili yake | Uganda |
Aina ya muziki | R&B, Afrobeat |
Kazi yake | Mwimbaji |
Ala | Sauti |
Ame/Wameshirikiana na | Bobi Wine,Bushoke |
Juliana Kanyomozi (anajulikana sana kwa jina lake la kwanza Juliana; amezaliwa 27 Novemba 1981) ni msanii wa kike kutoka Uganda ambaye ameimba nyimbo kama Say yes (Sema Ndiyo), Nabikoowa, Diana (hayati Philly Lutaaya) na Nkulinze.
Pia amefanya kazi na Bobi Wine kwenye nyimbo Taata Wa Banna Yanni (Nani ndiye baba wa watoto) na Mama Mbiire.
Yeye alikuwa mtangazaji wa kipindi cha asubuhi katika kituo cha redio cha Capital FM mjini Kampala.
Pia ametoa wimbo na mwimbaji wa Tanzania Bushoke (Usiende Mbali). na alitozwa taji la Uganda's Fashion icon mwaka 2008.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Alishinda:
Ameteuliwa: