Julius Gitahi (alizaliwa Nyeri, Mkoa wa Kati 29 Aprili 1978) ni mkimbiaji wa mbio ndefu kutoka Kenya.[1]
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julius Gitahi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |