Lindel Beresford English (anajulikana zaidi kama Junior English; 1951 – 10 Machi 2023) alikuwa mwimbaji wa reggae kutoka Jamaika ambaye alianza kazi yake mwanzoni mwa miaka ya 1960 kabla ya kuhamia Uingereza.[1][2][3][4]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Junior English kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |